top of page
Up coming events
Institute Regulations
Downloads
Examination Regulations

Utaratibu mpya wa uombaji nafasi

May 23, 2017

tunapenda kuwataarifu wote wanaotaka kujiunga na masomo katika chuo chetu kwamba utaratibu wa utumaji maombi umebadilika. Waombaji wote watatakiwa kuomba nafasi kwenye chuo husika kwa kujaza fomu za maombi (Application form), kisha kusubiri kuitwa kwa ajili ya usahili (interview) kwa wale wenye sifa zinazokubalika na baraza (NACTE)

Please reload

bottom of page